cookie

We use cookies to improve your browsing experience. By clicking Β«Accept allΒ», you agree to the use of cookies.

avatar

ZIJUE HISTORIA

Jifunze na jikumbushe historia mbali mbali Buy ads on:https://telega.io/c/jifunzehistoria

Show more
USA4 628The language is not specifiedFacts1 692
Advertising posts
7 961
Subscribers
+1324 hours
+407 days
+20330 days

Data loading in progress...

Subscriber growth rate

Data loading in progress...

Photo unavailableShow in Telegram
Meli ya Octavius ilipatikana Oktoba 11, 1775 baharini huko Uingereza Ikiwa na wafanyikazi 28 waliokufa wakiwa wamegandishwa kwa barafu ndani humo, wote walikuwa wameganda kwa barafu. Mwili wa nahodha ulikutwa bado uko kwenye meza huku kalamu ikiwa mkononi. Katika kabati la pembeni yake pia kulikuwa na miili ya mwanamke na mvulana aliyefunikwa na blanketi, wote wamekufa na wameganda. Haya yote yalikuwa ni mshangao kwani kwa mara ya mwisho meli hiyo ilionekana Novemba 11, 1762 kabla ya baadaye kupotea kimaajabu majini, hii ilimaanisha kuwa meli ilikuwa imepotea kwa miaka 13. Wachunguzi wa mambo walisema kuwa inawezekana meli ilipita katika eneo la bahari lenye barafu kali ndio maana watu wote 28 walionekana kuganda, lakini swali ni je, kwanini haikuonekana kwa miaka hiyo yote 13?.
Show all...
😱 2
Photo unavailableShow in Telegram
Enjoy our content? Advertise on this channel and reach a highly engaged audience! πŸ‘‰πŸ» It's easy with Telega.io. As the leading platform for native ads and integrations on Telegram, it provides user-friendly and efficient tools for quick and automated ad launches. ⚑️ Place your ad here in three simple steps: 1 Sign up 2 Top up the balance in a convenient way 3 Create your advertising post If your ad aligns with our content, we’ll gladly publish it. Start your promotion journey now!
Show all...
πŸ‘ 3
Photo unavailableShow in Telegram
Abdurrahman Wahid Alikuwa Rais wa Awamu ya 4 wa Indonesia Kati ya Mwaka 1999-2001, Alikua Maarufu sana kwa Kulala Wakati wa Vikao. Kuna Siku Alikua Anatoa Hotuba, Ghafla Wakaona Kimya Kumbe Jamaa Kashasinzia, Akalala. Wahid Alifariki Mwaka 2009 Akiwa na Miaka 69.
Show all...
πŸ‘ 11🀣 6😁 3🫑 1
Pichani ni Mtunzi wa Riwaya Philip K. Dick Raia wa US. Tangu Akiwa na Wiki Sita tuu Jina Lake Lilikuwa Limeshaandikwa Kwenye Kaburi Tayari, Ilisubiriwa tuu Afariki ili Iandikwe Kafa Lini. Ni Baada ya Pacha Wake Jane Kufariki, Wazazi Wakaamua Kuandika Majina Yao Wote Kwenye Kaburi. Philip na pacha wake Jane walizaliwa December 16, 1928 huko chicago US, lakini kwa bahati mbaya Jane akafariki wiki 6 tuu mbeleni. Wazazi wakaamua kuandika majina yao wote kwenye kaburi hilo, kwahio tangu mdogo Philip jina lake lishaandikwa kaburini. Alifariki Mwaka 1982 (53).
Show all...
πŸ‘ 8⚑ 1❀ 1😱 1
47:01
Video unavailableShow in Telegram
Kila mtu anajua kuna mambo mengi ya ajabu yanayotokea duniani, na leo nataka muangalie video hii kuhusu kikosi cha siri cha Men in Black! πŸŽ₯ Video hii inazungumzia jinsi kikosi hiki kinavyofanya kazi ili kuficha ukweli kuhusu wageni wa angani. Ni ya kusisimua sana na inaweza kubadilisha mawazo yenu kuhusu uhalisia wa ulimwengu wetu! Credits:Wasafi Tv Usisahau kushiriki mawazo yako baada ya kuangalia! πŸ‘½βœ¨
Show all...
66.06 MB
πŸ‘ 9❀ 3
Photo unavailableShow in Telegram
Karibu kwenye channel yetu ya Telegram iliyojitolea kukuza na kuboresha mahusiano yako! Hapa, utapata vidokezo vya kitaalamu, ushauri wa moyo, na hadithi za kweli zinazohusiana na kila kitu kuanzia mikakati ya mawasiliano hadi kutatua migogoro. Iwe unatafuta kuimarisha uhusiano wako, kukabiliana na changamoto, au tu kuelewa mwenzi wako vizuri zaidi, jamii yetu iko hapa kukusaidia. Jiunge nasi kwa maarifa ya kila siku na uungane na wengine katika safari ya kuelekea mahusiano yenye afya na furaha! πŸ’–βœ¨ https://t.me/learnrelationshiptips https://t.me/learnrelationshiptips
Show all...
πŸ‘ 2
Photo unavailableShow in Telegram
Faviola alikuwa na umri wa miaka miwili wakati anafariki Sept 6, 2018, mama yake Saundra Gonzales akaanza kuwa na wasiwasi na watu baada ya baadhi ya vitu katika kaburi la mtoto wake kama maua na midoli kuibiwa katika makaburi ya the Masonic huko Las Cruces, New Mexico alikozikwa. Hofu hiyo ilipelekea Saundra kufunga kamera kwa siri kurekodi kama kuna matukio yoyote hufanyika katika kaburi la marehemu mwanaye usiku. Kilichoonekana kunaswa katika kamera hiyo ni picha na video ya msichana mdogo akiwa anatembea tembea kando ya kaburi hilo, baada ya Saundra kuitazama picha hiyo akaanza kulia akidai kuwa binti huyo anayeonekana ndiye binti yake aliyezikwa. Katika video nyingine ilionyesha msichana huyo mdogo akitembea na mwanaume mrefu katika viunga vya makaburi hayo. "Nadhani alikuja kumchukua mwanangu ampeleke mbinguni," alisema Saundra. Hakuna uchunguzi uliofanikiwa na kutoa majibu kuhusu tukio hilo la ajabu.
Show all...
πŸ‘ 7❀ 1
Faviola alikuwa na umri wa miaka miwili wakati anafariki Sept 6, 2018, mama yake Saundra Gonzales akaanza kuwa na wasiwasi na watu baada ya baadhi ya vitu katika kaburi la mtoto wake kama maua na midoli kuibiwa katika makaburi ya the Masonic huko Las Cruces, New Mexico alikozikwa. Hofu hiyo ilipelekea Saundra kufunga kamera kwa siri kurekodi kama kuna matukio yoyote hufanyika katika kaburi la marehemu mwanaye usiku. Kilichoonekana kunaswa katika kamera hiyo ni picha na video ya msichana mdogo akiwa anatembea tembea kando ya kaburi hilo, baada ya Saundra kuitazama picha hiyo akaanza kulia akidai kuwa binti huyo anayeonekana ndiye binti yake aliyezikwa. Katika video nyingine ilionyesha msichana huyo mdogo akitembea na mwanaume mrefu katika viunga vya makaburi hayo. "Nadhani alikuja kumchukua mwanangu ampeleke mbinguni," alisema Saundra. Hakuna uchunguzi uliofanikiwa na kutoa majibu kuhusu tukio hilo la ajabu.
Show all...
Photo unavailableShow in Telegram
Show all...
❀ 2πŸ‘ 1
Photo unavailableShow in Telegram
Dokt. William Halsted Raia wa US, Anatajwa Kuwa ni 'Baba wa Upasuaji wa Kisasa.' Alikuwa Ananunua Mashati Yake ya Kazi Kutoka Paris Ufaransa, Akivaa Anarudisha Tena ili Yafuliwe na Kupigwa Pasi Kisha Wanayarudisha US. Alifariki Mwaka 1922, Hakua Anawaamini Madobi wa US.
Show all...
😁 9🀣 3πŸ‘ 2❀ 2πŸ’― 1
Choose a Different Plan

Your current plan allows analytics for only 5 channels. To get more, please choose a different plan.